Wasifu

Mariam Is-haaq Shaaban
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma Saidizi
Mariam Is-haaq Shaaban

Bi. Mariam Is-haaq mwenye shahada ya Uzamili ya Raslimaliwatu na Menejimenti anao uzoefu katika kazi mbalimbali za uongozi zikiwemo kusimamia sheria za kazi, mikakati ya kimenejimenti kiuongozi kwa viongozi wanawake, tathmini ya mahitaji ya mafunzo, namna ya kuziba mapengo yatokanayo na wafanyakazi kuacha kazi kwa sababu mbalimbali na uendelezwaji wa wafanyakazi kimafunzo na nidhamu.Mariam Is-haaq amebobea pia kwenye masuala yanayohusu mazingira ya kikazi yanayochangia ufanisi wa wafanyakazi na mazingira yanayopelekea ufanisi bora zaidi katika Mamlaka za Serikali Tanzania.