TMA KUENDESHA WARSHA YA WADAU KUPATA MAONI YA MFUMO WA UWASILISHAJI TAARIFA ZA HALI YA HAAEWA

Mahali

KIBAHA, COASTAL REGION

Tarehe

2019-10-04 - 2019-10-05

Muda

09:00 - 17:00

Madhumuni

Kukusanya Maoni ya wadau kwa ajili ya kuboresha mfumo wa uwasilishaji wa taarifa za hali ya hewa

Event Contents

TMA KUENDESHA WARSHA YA WADAU KUPATA MAONI YA MFUMO BORA WA UWASILISHAJI TAARIFA ZA HALI YA HEWA KWA SEKTA MBALIMBALI

Washiriki

TMA, WADAU WA HALI YA HEWA

Ada ya Tukio

N/A

Barua pepe

met@meteo.go.tz