Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Matukio

 • Kuanzia:30/03/2016 Mpaka: 31/03/2016

  Mahali : UDSM-UDBS5 Hall

  HADHIRA : Wafanyakazi

  KUHUSU TUKIO

  Uongozi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na wawakilishi wa wafanyakazi wamekutana katika Mkutano BARAZA la Wafanyakazi 2016 na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mafanikio na changamoto zinazoikabili Mamlaka na kujadiliana njia muafaka za kutatua changamoto mbalimbali ili kuongeza tija na huduma bora

  BARAZA hili linafanyika Jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa UDBS 5 Ulioko katika Chuo kikuu cha Dar es salaam.

  Bazara hili limefunguliwa rasmi na Mhandisi James Ngeleja kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi.

 • Weather by Region

  © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.