Matukio
01-Jan-1970

MAADHIMISHO YA MIAKA 57 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
01-Jan-1970

SALAMU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA 2021
Taarifa za Hali ya Hewa Kilimo
Jarida la Hali ya Hewa kilimo la Tathimini ya 01 - 10 Januari 2021 na Utabiri wa Januari 11 - 20, 2021
PakuaDONDOO ZA JANUARI 11 - 20 2021
- Wakulima katika maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua walikuwa wanajishughulisha na palizi ya kwanza na uwekaji mbolea.
- Maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua, mahindi yako kwenye hatua ya kubeba na kukomaa isipokuwa mkoani Kagera ambapo wakulima wanaendelea na uvunaji wa mahindi na mharagwe.
- Wakulima na wafugaji wanashauriwa kuendelea na shughuli za kilimo na kufuata ushauri wa maafisa ugani katika maeneo
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua ...
Taarifa ya Msimu wa ND 2020 - JFMA 2021 ya Hali ya Hewa Kilimo
PakuaMUHTASARI
- Utabiri wa mvua za mwezi Novemba hadi Aprili (NDJFMA) ni mahususi kwa maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka.
- Mvua za msimu zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo mengi ya nyanda za juu kusini magharibi, kanda ya kati pamoja na pwani ya kusini. Aidha, maeneo ya magharibi yanatarajiwa kupata mvua za wastani hadi chini ya wastani.
- Hali ya unyevunyevu ardhini inatarajiwa kuwa ya kuridhisha kwa ajili ya kilimo na malisho katika maeneo mengi.
- Matukio ya vipindi vifupi vya mvua kubwa yanaweza kusababisha mafuriko na kupelekea uharibifu wa miundombinu, upotevu wa maisha na mali.
- Magonjwa ya mlipuko yanaweza kujitokeza kutokana na kutuama kwa maji machafu na uchafuzi wa maji safi
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua...